Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Aisee kuna watu bado wanabisha?
Arsenal ndoo,
Haland Kiatu

Hizo nafasi zingine jipangien wenyewe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
1. The Arsenal
2. Mtajua wenyewe

Ikifika May kombe tunaomba wapewe nyumbu
 
Kwahiyo Bado unabisha, mlisema ooh ikifika machi aseno watarudi kwenye nafasi yao, machi hiyooo inayeya
Bado Arsenal cmpi nafasi mkuu. Ana mechi ngumu kuliko City na ukiangakia pengo la point c kubwa sana kikubwa kinachonopa iman kuwa hatochukua ana game na city
 
Back
Top Bottom