AlhamduliLlah nilikuwepo.Naomba Mods msiufute uzi huu wala kuuhamishia mjuako, binafsi hizi picha zimevuta taswila ya mambo mengi akiwepo mzee pekee aliyekuwa na duka mtaani kwetu, ilikuwa ukienda kununua bidhaa anakuuliza chenji yako ni kiasi gani?
Ukishindwa hesabu kama unasoma madarasa ya kuanzia Std 3 na kuendelea unakula konzi za maana ndipo uhudumiwe RIP Mzee Phano
View attachment 2770661 View attachment 2770662 View attachment 2770669View attachment 2770667View attachment 2770666View attachment 2770663
Ulikuwa umeshaolewa au bado?AlhamduliLlah nilikuwepo.
Ulikuwa umeshaolewa au bado?
Swali juu ya swali!Kwani vilipotea mwaka gani?
nikijuwa mwaka vilivyopotea ntajuwa nilikuwa nimeolewa au bado.Swali juu ya swali!
Mnaongelea mwaka gani?Enzi hizo ukisikia kingora kinalia unajua asilimia kubwa atakuwa ni Raisi wa nchi anapita.