Wale wa hizi enzi tukutane hapa

Wale wa hizi enzi tukutane hapa

Uuuuwi hadi moyo umeenda mbio,nimetumia tan bond et! Mbona sasa mimi bado naonekana mdogo?

Halafu nilikuwa camera man naweka hizo kodak,ni lazima uwekee gizani [emoji1]
Halafu nyie wapiga picha mlikua hamchelewi kutuambia ''Picha yako imeungua'' wakati hapo mtu umesubiri wiki mbili.
 
Na mimi nitakuja kufungua uzi ili wale wakongwe tuliokua tunawasha moto kwa kugonganisha mawe enzi hizo hakuna viberiti au kupekecha kijiti kwenye kuni ili kupata moto.
 
AlhamduliLlah ndoa yangu ni 1982. Nilikuwa naishi nje ya Tanzania lakini nakuja-kuja sana wiki mbili tatu naondoka.
Kwa walio wengi wewe ni kama mama yao humu. Kwa sie wewe ni dada yetu tu. Uccm na udini wako tu ndio tatizo ila una madini.
 
Back
Top Bottom