wale wa ifm 2kutane hapa

wale wa ifm 2kutane hapa

Karibu IFM mkuukama ni IT ni pm.namba yako ukiwa na shida nicheki au ukifika uliza mtaalam wa codes kwa mwaka wa pili utaletwa str8 je uliichagua?

Haina noma mtaalamu wa codes... 2takuwa pamoko xana brah
 
Dege langu limetua hapo IFM kwa miaka 3.....bachelor if banking and finance...........ila nahisi bata litanipelekesha mieeeee
 
Rafiki yangu wa kwanza huyu... Karriibbuuuuuuu....
 
Ilikuwa choice ya pili kaka, xema me nimepiga egm

usijali hapo ni msuli tu. muhimu uwe na laptop kwa ajili ya masomo kama c programming hesabu ni za kawaida tu sema kwenye somo kama c programming itabidi uwe muhangaikaji na usikose vipindi. Notes utachukua kwangu ma pastpapers best of luck na karibu
 
Thanx alot pal.... I guess we r already 2geza brah
 
ndugu zangu ifm sio rahs kama mnavyoichukulia....u have 2 study...msul wa pale s wa kichumba..kurepeat a year na kudisco kwa semister n jambo rahs saana kama usipokua makini

kwa wastani wa 40% na sisi wa 50% tusemeje?
 
Dege langu limetua hapo IFM kwa miaka 3.....bachelor if banking and finance...........ila nahisi bata litanipelekesha mieeeee

NA WEWE AVerage ya 40% inakupelekesha??ungekuwa SUA au MUCCoBS ambapo average ni 50% ungelia
 
wewe mbona kujisifia na lichuo lako hilo la ushirikaaaa bayaaa

Unamtindio wa ubongo! wewe kama wastani ni mdogo tusiseme??, mwambie babayako ajenge chuokizuri kama MUCCoBS ni kibaya!, ifm shule rahisi average40%,!! umevurugwa marinda wewe, kozi yenyewe unayosoma sijui umeitoa pori gani!
 
una lolote ww! Unatapatapaa 2
 
Dege langu limetua hapo IFM kwa miaka 3.....bachelor if banking and finance...........ila nahisi bata litanipelekesha mieeeee

bachelor of scince in computer science ila nitachange nikifika chuo........banking and finance
 
Back
Top Bottom