wale wa ifm 2kutane hapa

wale wa ifm 2kutane hapa

NA WEWE AVerage ya 40% inakupelekesha??ungekuwa SUA au MUCCoBS ambapo average ni 50% ungelia

Mkuu bado cjajionea laivu....nilichomaanisha hapa ni kuwa mi mtu wa kurelax na bata sana sasa i hv to change kabla sijaanza kuliwa vichwa
 
Karibu ila halahala unaweza ondoka semista ya kwanza tu.
Piga kitabu
 
Back
Top Bottom