Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani 2juane
ndo mimi denis banking and finance
Banking and finance
msuli wapi wakati mnahonga kuondosha supplimentary na ushahidi ni rafiki yangu..alikua sitaki shule na kamaliza..akiona ngoma tight anaomba kufanya special coz huko ndio wanafanya manuva ya kuhongana..mademu wanagongwa kinyama na walimu..poleniifm chuo kina nyc classes + Air conditions,, japokuwa hakina nafac kubwa..
i can say nimojawapo ya chuo ambacho kipo juu.. pia kimpngo wa msuli inabidi ujikaze wako strict kinomah
msuli wapi wakati mnahonga kuondosha supplimentary na ushahidi ni rafiki yangu..alikua sitaki shule na kamaliza..akiona ngoma tight anaomba kufanya special coz huko ndio wanafanya manuva ya kuhongana..mademu wanagongwa kinyama na walimu..poleni
PUMBA.Mmeshindwa kufahamiana huko chuo mnataka kufahamiana hapa
insurance and risk managmnt