Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

Mliochaguliwa mwaka wa kwanza IT na Computer science ni PM niwauzie matilio. mimi niko hapo IT pia kama mna lolote msisite uliza. mtu asiwadanganye sijui eti ni taasisi wala nini, hiko ni chuo zaidi ya vyuo na ushahidi siku hizi kwenye magazeti angalieni kwenye ajira kipaumbele ni chuo gani wanatajwa. H ao wanaowakatisha. Tamaa ni wivu wanao wengi wametamani kusoma hapo ila tcu ilisema hapana. Kuna library kubwa sana ya kutosha. Computer lab nane kabisa ushindwe mwenyewe tu. karibuni vijana ila msuli uko pale pale.

wewe ndo mtu wa kutusaidia,tunaomba utujuze kuhusu tarehe ya kufungua na mambo ya orientation yanakuaje....
 
wewe ndo mtu wa kutusaidia,tunaomba utujuze kuhusu tarehe ya kufungua na mambo ya orientation yanakuaje....

Kufungua ni kati ya tarehe 7/10 au 21/10 haijafahamika bado ila nyie mtatangulia wiki moja kabla yetu so tukiwa tunafungua tarehe 21 nyie mtaanza wiki moja kabla orientation huwa wanasema tu ila mara nyingi inakusaidia kufahamu mazingira ya shule kama teaching theatres na tutorial rooms. Pia ndo muda muafaka wa kufanya registration ili uwah pata id card yako ikusaidie kuingia library na siku hizi kuna system mpya wanakagua ids getini. Fata ratiba ukiwa mtoro mtoro ukamisi assignments au quiz ukishawekewa incomplete hakuna mjadala ukihonga jela yako imeliwa. Anyway Walimu wako wakutosha na hawamisi wala kuchelewa vipindi penda sana library na maksi zitakupenda usimsahau bwana google na wikipedia. Ontop of that jua field ni kila mwaka hivyo inakupa muda mzuri wa kujifunza kwa vitendo kabla hujaajiriwa
 
ikiwa umepata chuo kama equivalent na umeomba mkopo kwa form 6 ipo tamaa ya kupata mkopo?
 
Congratulations wote, esp. BBF (Bachelor Of Banking & Finance). Ni kozi ambayo nimemaliza nayo mwaka huu hapo ifm na nasubiri kuvaa joho november pale Karimjee Hall. See you when you get ther!
 
Congratulations wote, esp. BBF (Bachelor Of Banking & Finance). Ni kozi ambayo nimemaliza nayo mwaka huu hapo ifm na nasubiri kuvaa joho november pale Karimjee Hall. See you when you get ther!

Pamoja sana mkuu...hongera sana kwa hatua uliyofikia
 
Kufungua ni kati ya tarehe 7/10 au 21/10 haijafahamika bado ila nyie mtatangulia wiki moja kabla yetu so tukiwa tunafungua tarehe 21 nyie mtaanza wiki moja kabla orientation huwa wanasema tu ila mara nyingi inakusaidia kufahamu mazingira ya shule kama teaching theatres na tutorial rooms. Pia ndo muda muafaka wa kufanya registration ili uwah pata id card yako ikusaidie kuingia library na siku hizi kuna system mpya wanakagua ids getini. Fata ratiba ukiwa mtoro mtoro ukamisi assignments au quiz ukishawekewa incomplete hakuna mjadala ukihonga jela yako imeliwa. Anyway Walimu wako wakutosha na hawamisi wala kuchelewa vipindi penda sana library na maksi zitakupenda usimsahau bwana google na wikipedia. Ontop of that jua field ni kila mwaka hivyo inakupa muda mzuri wa kujifunza kwa vitendo kabla hujaajiriwa

Yani broo unanipa moyo xana... naomba kama hutajali uniPM dials zako nikuchek for more details, thanx alot mkuu na ntafurah zaid kaka utaniPM hzo digits
 
Nilikua nackia tu waki comment pumba..et ifm sio chuo..mkija mwaka wa kwanza angalieni getini kama pameandikwa taasisi ya usimamizi wa fedha..alaf wengine wanafikir et vyuo vya kijijini huko porini pekee ndo kuna shule ipo mjini pia..ukienda oxford unasomea porini..
 
cunajua maneno ya mkosaji.......inaonekana uliomba IFM ukakosa ndo unajikua unachoweza fanya now ni kuisemea mbov kenge maji wewe.....piga kimyaaaaaa.....

#bravoLITObraver
 
msuli wapi wakati mnahonga kuondosha supplimentary na ushahidi ni rafiki yangu..alikua sitaki shule na kamaliza..akiona ngoma tight anaomba kufanya special coz huko ndio wanafanya manuva ya kuhongana..mademu wanagongwa kinyama na walimu..poleni

Ndugu yangu rushwa ya ngono iko kila chuo karibu.. Mambo ya kuhonga kutolewa sapu yapo ni ni very rare kwa IFM. Pesa yake ni ndefu unayoambiwa utoe na inabidi uwe na mtu hasa unayemjua, la sivyo unaliwa pesa na hufanikiwi..Binafsi nishawaona live walitoa pesa za kuclear na wasifanikiwe....
Beside kama ni wa shule za kayumba inakua ngumu maana huo mzigo wa pesa huna pa kuupatia..

nothing is easy, just kukaza shule na kuavoid supp.. I wish you all the best kwa wale mliochaguliwa ifm
 
vijana wa mwaka wa kwanza karibun xana mjini ila msiishie kufanya mishe za kipuuz,ifm unatakiwa upige msuli na si starehe kama wengi wanavyodhan maana usipokaa vzr wanakuchomoa.Msijali karibun mpige shule mi npo mwaka wa pili accounts
 
Back
Top Bottom