Mliochaguliwa mwaka wa kwanza IT na Computer science ni PM niwauzie matilio. mimi niko hapo IT pia kama mna lolote msisite uliza. mtu asiwadanganye sijui eti ni taasisi wala nini, hiko ni chuo zaidi ya vyuo na ushahidi siku hizi kwenye magazeti angalieni kwenye ajira kipaumbele ni chuo gani wanatajwa. H ao wanaowakatisha. Tamaa ni wivu wanao wengi wametamani kusoma hapo ila tcu ilisema hapana. Kuna library kubwa sana ya kutosha. Computer lab nane kabisa ushindwe mwenyewe tu. karibuni vijana ila msuli uko pale pale.
wewe ndo mtu wa kutusaidia,tunaomba utujuze kuhusu tarehe ya kufungua na mambo ya orientation yanakuaje....