Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

ifm chuo kina nyc classes + Air conditions,, japokuwa hakina nafac kubwa..
i can say nimojawapo ya chuo ambacho kipo juu.. pia kimpngo wa msuli inabidi ujikaze wako strict kinomah
 
ifm chuo kina nyc classes + Air conditions,, japokuwa hakina nafac kubwa..
i can say nimojawapo ya chuo ambacho kipo juu.. pia kimpngo wa msuli inabidi ujikaze wako strict kinomah
msuli wapi wakati mnahonga kuondosha supplimentary na ushahidi ni rafiki yangu..alikua sitaki shule na kamaliza..akiona ngoma tight anaomba kufanya special coz huko ndio wanafanya manuva ya kuhongana..mademu wanagongwa kinyama na walimu..poleni
 
kila place iko hivyo kwan ni ifm pekeee hata hicho chuo chako chaa kichochoron unachoenda utayakuta hongere wana mlio enda posta
 
msuli wapi wakati mnahonga kuondosha supplimentary na ushahidi ni rafiki yangu..alikua sitaki shule na kamaliza..akiona ngoma tight anaomba kufanya special coz huko ndio wanafanya manuva ya kuhongana..mademu wanagongwa kinyama na walimu..poleni

Huo ni wivu wa kike,chuo chochote kile ukitaka kuhonga utahonga tu kwani nani hapendi pesa duniani?? Wewe ukiwa kilaza utaliwa sana pesa zako lakini watu wanaotia misuli kweli hawajuagi izo mambo.....una mengi ya kujifunza instead of kukaa na kuanza kusemea mbovu vyuo vya wenzio tena kwa hoja za kichoko kama hizo......ungesema hawajui kufundisha labda ningefikirisha ubongo ila hapo umeongea ujinga tu
 
Mliochaguliwa mwaka wa kwanza IT na Computer science ni PM niwauzie matilio. mimi niko hapo IT pia kama mna lolote msisite uliza. mtu asiwadanganye sijui eti ni taasisi wala nini, hiko ni chuo zaidi ya vyuo na ushahidi siku hizi kwenye magazeti angalieni kwenye ajira kipaumbele ni chuo gani wanatajwa. H ao wanaowakatisha. Tamaa ni wivu wanao wengi wametamani kusoma hapo ila tcu ilisema hapana. Kuna library kubwa sana ya kutosha. Computer lab nane kabisa ushindwe mwenyewe tu. karibuni vijana ila msuli uko pale pale.
 
Back
Top Bottom