Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pesa unayosomea masters huko South africa nani anakulipia?
International School of Tanganyika - Dar es Salaam -TanzaniaIST iko nchi gani. was it among the special school i never heard .Iko mkoa gani?
Hawafati mitaala mibovu ya NECTA.....MIE SIO MZUNGU mbona nilisoma pale......Ndio wanafundish nini hawa wanafuata mtaaala gani na kwa nini waitwe Iitwe international.
It sound like kama ilikuwa ni shule kwa jili ya Ukoloni yaani shule kwa ajili ya wazungu.
mkuu tatizo lako ni elimu ya NECTA ULIOSOMA umekariri ukimaliza hatua ya sekndari lazima uende chuo....ukakaririshe tena....Je baada ya IST ulienda sekondary gani na Chuo gani. labda unaweza kuwa mate wangu kinondoni sekondary
1979-2000 katiika kati ya miaka hiyo.......