MyTanzania
Senior Member
- Sep 9, 2008
- 106
- 8
Malafyale Sanctus Mtsimbe, ahsante sana ,ndaga fijo-na malori na mapijo!!
Kibaha has produced a lot of personalities JK,Gray Mgonja ,Tenga na hao ni wachache!!
Sio huyo tu Naskia hata KARAMAGI
jamani mmenikumbusha mbali saana,ile thinking tank,
mzee mwaipaja,mama sendi,mzee wa 4by4 by 7,nakumbuka yale machunnwa,nakumbuka ya maembe,nakumbuka kuku wa kienyeji,wa kule mwanalugali,na kumbuka madome yoote kuanzia nyanza mpaka scandia,nakumbuka mashindano ya usafi,na yule jamaa wa michezo alikua anaitwa nani?
Mzalendo, Mbona umemsahau Mzee wetu Mr. KAZIBURE?
Jamani hebu nijulisheni Mzee Kazibure yu wapi?Ni kati ya waalimu wa siku nyingi sana pale Kibaha.