Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

Hello, nimefurahi kwa post hii. Wale mnaosema mama Luoga, au Mr Lopha naona mmesahau kidogo. Badala yake ni mama Luhaga na Mr Luhaga. Mwenzenu nilipita enzi za mzee Msaki, nakumbika alikuwa akisisitiza KAKUNI tuuu, yaani, Kazi+Kusoma+ Kazi= first class au second class tu. kweli napamisi Kibaha jamani

Mkuu Ndamwe, umenikumbusha mbali sana na mzee wetu KAKUNI!! mimi nimepitia Kibaha '81 to '83 A level. tulikuwa na marehemu Kazibure, mama schade (RIP) huyu mama alikuwa mjerumani na alikuwa 'anatoka' na wanafunzi, Lwebandiza na gitaa lake... kweli shule ilikuwa murua sana! mzee KAKANI alikuwa mkali kweli kweli na alisimamia shule ipasavyo! duh, it is hard to believe but it is now 26 years since i left kibaha na sijawahi kupita tena kuona shule iko vipi sasa.
 
Wee mkongwe hasa. Chriss Phabby, DJ Kali Kali ... nilikuwa nawasoma kwenye magazeti wakati niko shule ya msingi kijijini. Nadhani wakati naingia mjini walikwishastaafu. Nimesoma comments nyingi za wakongwe humu... Nafurahi mwanakibaha mwenzenu.
Mkuu, unanikumbusha habari ya Mwanalugali, Maili Moja, Picha ya ndege NK.

Bila kusahau weekend tunapanda Zainabu au Scandinavia kuaj SPACE 1900 MBOWE DISCO kwa Chriss Phabby . . . LOL
 
Mzee Hella aliwafundisha chemistry? Alikuwa pia mzuri.
Masa,, apo kwen hesabu usimguse 'babu' Mhango...sijui ameshastaafu au bado yupo hai? Mi nilikuwa nachukua BAM lakini haikuwa na tofauti sana na advanced, vijana walikuwa wanapiga hesabu asikwambie mtu1

apo kwa mama Nyiti,,, with a light touch....

kuna mzee Mpalaza alikuwa kilimo nasikia kawa headmaster Ruvu

Mzee mwenyewe Abdula wa Chemistry na yeye kapewaulaji wa uheadmaster....ila ile ilikuwa kichwa linapokuja suala la organic chemistry...
 
I think it was one of best schools .

Wengine tulisoma KiBAHA wakati huo ikiitwa NORDIC TANGANYIKA PROJECT.
Headmaster wetu BERGSON!!!!!! Enzi za Prof. Karim Hirji[ mathematician]; marehemu C. Apson [ DI], Hussein Mtoro, Prof. Bonni Mwaiseje, Wellington Yoram,Grant Mwaipaja ,Brian Sagatwa.etc
 
Heshima yako mkuu
Wengine tulisoma KiBAHA wakati huo ikiitwa NORDIC TANGANYIKA PROJECT.
Headmaster wetu BERGSON!!!!!! Enzi za Prof. Karim Hirji[ mathematician]; marehemu C. Apson [ DI], Hussein Mtoro, Prof. Bonni Mwaiseje, Grant Mwaipaja ,Brian Sagatwa.etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think it was one of best schools . . .

Asubuhi Chai ya Maziwa na Mikate ya Siagi

Saa Nne - Chai na Mikate/Siagi

Mchana - Wali/Ugali Kuku

Chai ya Saa Kumi

Jioni - Wali Nyama

Baada ya Class - Michezo . .. I remember Mwl Henry Ramadhani aliyekuwa Mkurugenzi wa Michezo alikuwa Kocha wa Basket Ball.

Usiku Preparations

Kila Alhamisi - Mashindano ya Usafi wa Nyumba nk.

Kweli Elimu ya Sasa ni tofauti sana na enzi zile

Hizo uduma kwa sasa hata private school huzipati
 
Mkuu Ndamwe, umenikumbusha mbali sana na mzee wetu KAKUNI!! mimi nimepitia Kibaha '81 to '83 A level. tulikuwa na marehemu Kazibure, mama schade (RIP) huyu mama alikuwa mjerumani na alikuwa 'anatoka' na wanafunzi, Lwebandiza na gitaa lake... kweli shule ilikuwa murua sana! mzee KAKANI alikuwa mkali kweli kweli na alisimamia shule ipasavyo! duh, it is hard to believe but it is now 26 years since i left kibaha na sijawahi kupita tena kuona shule iko vipi sasa.
ni KAKUNI = KAZI + KUSOMA + NIDHAMU
 
Nakumbuka wakati tunajiandaa na mitihani mei 1992,usiku mmoja vijana wa form 3 walimuopoa demu mmoja Pich ya ndege wakaja nae Scandia ili wamshughulikie.Kwa bahati mbaya form 6 wakawaona palepale wakamchukua yule demu na kumwingiza chumba namba 4 ambacho alikuwa analala Mwenyekiti wa bweni Mh....Basi yule demu alifanyiziwa usiku kucha na vijana wa form 6 wakiongozwa na yule mwenyekiti wa bweni,yaani ilikuwa huruma mno kwani sauti za kelele toka kwa yule msichana zilitawala eneo lote la Scandia.Cha kuhudhunisha zaidi wale vijana waliokuja na yule demu ilibidi wapange foleni ili kuweza kupata bahati ya kumfikia yule msichana.Na kwavile form 6 walikuwa wengi wale vijana hawakufanikiwa kumpata yule demu waliomleta ili kuvunja amri ya 6.Nawakumbuka wengi kama Kamugisha,Peter Ulanga,Contractor,Adamu Madusi,Bigambo Andrew,Makanacky,Bryceson Abihudi,Benny White,Ndorerah(marehemu),Fransic Sekwao,Stone,Chesinode Kulangwa,Mammy,Mark Msaki,Masuhuko Nkuba,Magayane Machibya,Makanzo Laurent,Dr.Mattias Daud,Spear,Ambokile Mwaisaka,Peter Omar,Anganile Kaisi,Saad Hussen,Rehema,Mwanaidi Shaaban,Bosco Mtiga n.k Jamani oridha ni ndefu sana,mmenikumbusha mbaaaaaaaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaanaaaaa.Mwalimu Abdallah Abdallah yupo wapi?
WENGI NI WATU WAZITO SANA nchi hii, nawakumbuka kina Arthur Lyatuu, kina Pius Macha, ....kina Jacob Mtui alikimbizana sana na kile kichwa cha kihindi Salim Ghulam japo Salim alikuwa anawasha taa mbaya sana

ile batch ya kina Kamgisha Kazaura ilichangamsha sana kambi na hasa kule kwenye basket ball. ilikuwa very social na ilizingatia umwamba wa darasani..yaani kupasua ilikuwa fashion

Walimaliza pepa yao ya mwisho wakasherekea sana na kale karedio chao lilkuwa pale skandia ilikuwa ya yule marehemu msukuma flan mweusi kinational panasonic kina spika mbili..walicheza ule wimbo "I ve thinking about you" ..tuliobaki o level tulisikitika sana miezi mitatu na sisi tuondoke..

by the way kuna timu ilikuwa kali sana ya soka form four ya 92 wana "WASA"....... ilitisha sana kina alfred peter chiwachi hatareeeee. boli ilikuwa inapigwa sana pale uwanya wa shirika. kukiwa na ligi tunahamia uwanja namba 2 mpaka 3 baada ya uwanja wa basket kama unaenda mwanalugali

table tenis Benard Taabu Michael

kulikuwa na kaka wawili wakubwa walicheza sana mpira pale timu ya shirika. yule mmoja aliitwa Swai sijui alienda wapi?
mnakumbuka kisa cha Safina na yule James?
 
Back
Top Bottom