Hello, nimefurahi kwa post hii. Wale mnaosema mama Luoga, au Mr Lopha naona mmesahau kidogo. Badala yake ni mama Luhaga na Mr Luhaga. Mwenzenu nilipita enzi za mzee Msaki, nakumbika alikuwa akisisitiza KAKUNI tuuu, yaani, Kazi+Kusoma+ Kazi= first class au second class tu. kweli napamisi Kibaha jamani
Mkuu Ndamwe, umenikumbusha mbali sana na mzee wetu KAKUNI!! mimi nimepitia Kibaha '81 to '83 A level. tulikuwa na marehemu Kazibure, mama schade (RIP) huyu mama alikuwa mjerumani na alikuwa 'anatoka' na wanafunzi, Lwebandiza na gitaa lake... kweli shule ilikuwa murua sana! mzee KAKANI alikuwa mkali kweli kweli na alisimamia shule ipasavyo! duh, it is hard to believe but it is now 26 years since i left kibaha na sijawahi kupita tena kuona shule iko vipi sasa.