Al karim unakulaje hivyo vitu bila ka kitimoto hata nusu bana??Nimeipenda sana hiyo picha . Umepigia himo au Marangu ?
By the way nimeolea huko kwenu . Real Fantastic . Kwa sasa tupo njia panda hapa tunakula supu na mbege
Mwika nilipapenda, nimekaapo miaka 3 nikiwa hapo BIBLE, kuzuri hatari afu watu wake wakarimu hatari.Msae -Mwika..... Ijumaa niko road chap kuja huko
Mamsela au UseriRombo hahaha