Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

Kama umetokea mkoa huu drope seven ulikotoka nia ni kujuana ili tuweze kutembeleana msimu huu wa holiday.
Wageni unaitaja sehemu unayotaka kutembelea[emoji7]

a16286b9b03b8bc2c1870581a04b6bfe.jpg
Hii picha ni ya kule Sanya sio
 
Hapo tarakea mlima ulipopigiwa picha!katikati ya tarakea na rombo.
 
Wale wote mnaeenda kibosho msipite kibosho road bila kunitafuta niwaoneshe kowanja yangu mpya naizindua kushoto mwa barabara inayopanda kibosho.
Inaitwaje asee maana mi sshv nataka nipige vyombo mbali na town
 
Back
Top Bottom