Uru ShimbweKama umetokea mkoa huu drope seven ulikotoka nia ni kujuana ili tuweze kutembeleana msimu huu wa holiday.
Wageni unaitaja sehemu unayotaka kutembelea[emoji7]
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uru ShimbweKama umetokea mkoa huu drope seven ulikotoka nia ni kujuana ili tuweze kutembeleana msimu huu wa holiday.
Wageni unaitaja sehemu unayotaka kutembelea[emoji7]
![]()
Nimeimiss mbege, Nawaonea wivu mliopo huko.Haha poa.
Nipo Kirima Boro hapa
uru wapi mkuu mawela au sokoniNinakaa Uru ndipo nyumbani karibuni
We Instanbul Mungu Anakuona Si Ulikuwa Unaiponda Moshi Kwenye Uzi Wako Wa Bukoba. Trust No Body.Kibosho
Mawela, wewe wa wapi?uru wapi mkuu mawela au sokoni
Karibu tena mkuuMwika nilipapenda, nimekaapo miaka 3 nikiwa hapo BIBLE, kuzuri hatari afu watu wake wakarimu hatari.
Mkuu ijumaa ntakua msae,nganyeni ...nitakualika mkuu maana tarehe 23 kuna jubilee bia za kumwagaMsae,kirosha.
Kyalema wameku.
Mawela ntakuja trh 27 mkuu... Maza ang katokea hapo kwa akina Kiwale aseeMawela, wewe wa wapi?
Nikutumie ile kibosho galoni moja??!!maana huwa tam kama imetiwa sukari vile afu unaikuta ya baridiiiNimeimiss mbege, Nawaonea wivu mliopo huko.
Mi nawapa changamoto wana moshi wenzangu tuamuke after lol mi ni half mother mchaga baba mhaya mchanganyiko wa makabila maarufu bongo mother wa kibosho karibu na seminali kuuWe Instanbul Mungu Anakuona Si Ulikuwa Unaiponda Moshi Kwenye Uzi Wako Wa Bukoba. Trust No Body.
sokoni mkuuMawela, wewe wa wapi?