Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nki kyalema Meku TaMsae,kirosha.
Kyalema wameku.
unafika Sambarai barabara ya Cm?Wale wote mnaeenda kibosho msipite kibosho road bila kunitafuta niwaoneshe chimbo langu jipya nalizindua kushoto mwa barabara inayopanda kibosho.
Basi jumapili uwepo Kanisa la Mtakatifu Ana Boro.Haha poa.
Nipo Kirima Boro hapa
Marangu ipi Sembeti, Mamba kwa Makundi, mshiri au Arisi.Marangu moja hiyo , karibuni kisusio na kiumbo
Lazima ntarudiKaribu mjomba
Ni Kweli Mkuu.Na kahawa zile punje sijui zina utamu gani?mi nazani zinaongeza akili
Piga picha, tuone vijiji vya Kilimanjaro tuone hayo maendeleo yaoMchanganyiko huu umenipa mafanikio makubwa bk na moshi kwetu petu na senene nakula
Hebu sogea hapa...hawa jamaa wanaosimamia jukwaa na kupiga ban wanaitwaje tena?..eeh kwa huyo huyo tupige mbili tatu!Marangu Sembeti
Hapo bablony ni karibu na marangu mtoni siyo kama inaelekea mamba siyo?
Kwa wachaga wote naomba kujua jani la sale lina maana gani naona kama lina heshimiwa sana.