Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

Wale wa Kilimanjaro tukutane hapa...

Imepigiwa ROMBO...
hapana picha haijapigwa kutokea Rombo
Kilele ha Mawenzi ndio kingeonekana
a16286b9b03b8bc2c1870581a04b6bfe.jpg


mm nipo hapa mtoni, njiapanda ya Kilema, Rombo
 
Hahhah ushapigwa pingu na bontown nni... Ila umesema juz juz ulikuwa huko
Tangu mdogo hatuna huo utaratibu, tunaendaga tu kwa shughuli nyingine, yes nilikuwa huko mwezi uliopita.
 
Back
Top Bottom