atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Unajua ukiwa mwongo basi usiwe msahaulifu jana ulisema mama mkibosho baba mwi iraq leo tena baba amekuwa mhaya?[emoji15]Mi nawapa changamoto wana moshi wenzangu tuamuke after lol mi ni half mother mchaga baba mhaya mchanganyiko wa makabila maarufu bongo mother wa kibosho karibu na seminali kuu
Mkuu hii pic ulipanda juu ya mti nin[emoji23]
Shalom ndugu zangu, kama unasafiri usiku kuja moshi ukifika maeneo ya lembeni uwe makini jamaa wanapanga mawe na wana Gari na pia bodaboda.
Gari wanaitumia kuhakikisha unapishana nao eneo lenye mawe ili ubane upande wa mawe usiweze kukwepa.
Jana tumekutana nayo wamepanga km manne, hivyo hatukuwa na option nyingine tukayaingia nikapasua tairi ya mbele hapo hapo Mungu amesaidia haikupinduka.
Tukaanza kutafuta pa kusimama ili tuweze kubadili ghafla tukaona Bodaboda inaanza kutufuata spidi ikabidi tuondoke hivyo hivyo, walivyoona tunaondoka wakazima taa wakaingia msituni, tukaendelea kwa muda Bahati tukaingia mji unaofuata.
Tukakuta watu pale wakatuambia mna Bahati sana maana haipiti siku mbili wanatega mawe na kuiba hata juzi wameiba hivyo hivyo na wanawapiga mapanga.
Cha kushangaza eneo hilohilo tumeambiwa polisi walikuwepo muda si mrefu. Ila tumekuja kuwakuta huku mbele wakatuambia ngoja waende huko
Nashauri unaposafiri hakikisha unamuomba Mungu awalinde dhidi ya wasio haki kwani sisi tulikuwa na Zaburi ya 17.
Shetani anatumia watu wasio haki kama hawa. Pia mfahamu kuna watu shetani amewabadili kuwa wauaji, wezi na waharibifu ila ukiwa na Roho wa Mungu utakuwa salama tu.
Ni hayo niliyokutana hivyo muwe makini na haya, mchana tochi, usiku mawe!!!! Sasa hiyo ni bufee chagua mwenyewe.
Mosha
Yap..Wewe ni Mkibosho au?
Kweli mkuu,mimi mchaga lkn napinga hizo mila kwa nguvu zote.pamoja na yote, tafadhalini ndugu zanguni, acheni kuchinja ng'ombe/mbuzi na kwenda kutambika makaburini kwa kuamini babu/wazee waliokufa ndio wanaowasaidia kule mjini. Pia Epukeni ulevi
JESUS IS LORD!
Mkuu unafahamu kimbogho...karibu na Marlex sec?Marangu mkolowonyi
Piaaa linatumika kuweka mipaka wakati wa kugawa shamba/kihambaKuombea msamaa au kuombea kitu huwa halirudi lazima usamehewe au lazima upewe icho kitu ulikuwa unataka ila ni kwa wanaojua maana yake
Mkuu unafahamu kimbogho...karibu na Marlex sec?
Kweli mkuu,mimi mchaga lkn napinga hizo mila kwa nguvu zote.
.
.
Ila pombe siachi.
Ndio maskani mkali...Yah napafahamu meku
Ndio maskani mkali...
Kibosho ipi mangi taja location jumamosi nipo njianiWale wote mnaeenda kibosho msipite kibosho road bila kunitafuta niwaoneshe chimbo langu jipya nalizindua kushoto mwa barabara inayopanda kibosho.
Umetishaa mkalii...nitakutafutaKote huko napajua naweza nikawa najua pia ukoo wako