Hapo lazima shida itakuwa ni mfumo. Hali kama hiyo iliwahi kumtokea mtu na alipopiga simu kuulizia, akaambiwa kuna changamoto ya kimfumo ambapo mfumo wa bank ulikuwa hauna link na mfumo wa ess. Hivyo wakitoa mkopo hawatokuwa na records sahihi za mikopo iliyotolewa. Hivyo mtoa mada avumilie tu, mfumo ukikaa sawa atapata.Tunaweka bwashee wala hatuna haraka na pesa zetu mangi
Wewe bado upo kwenye dimbwi la umaskini na umeshakuwa addicted na mikopo. Sio Kila tatizo linatatuliwa na mikopo weka akiba mnyampaa utakuwa mtumwa wa mabenki na vi microfinanceHii benki imenirudisha enzi za ujima na analogy tulipokuwa tunasubiri mkopo wiki mbili mpaka tatu,yaani naenda siku ya tano,kila sehemu umetishwa na makato yameingizwa ila wao hawataki kunipa hela,watumishi wenzangu siku hizi mkopo unaweza kupata hata ndani ya masaa manne ilimradi wapitishaji wawepo online.
Ni wazi hawa azania hawana hela,nikiwapigia wanasema mfumo unashida, lakini si kweli maana benki zingine zinaendelea kutoa,nilitaka ku cancel nichukue benki nyingine wanasema hawna access na mfumo,kifuata.....tutaelewana tu.
Hii ni mbaya sana shindii 🥲 umefafanua kwa kirefu mnoHapo lazima shida itakuwa ni mfumo. Hali kama hiyo iliwahi kumtokea mtu na alipopiga simu kuulizia, akaambiwa kuna changamoto ya kimfumo ambapo mfumo wa bank ulikuwa hauna link na mfumo wa ess. Hivyo wakitoa mkopo hawatokuwa na records sahihi za mikopo iliyotolewa. Hivyo mtoa mada avumilie tu, mfumo ukikaa sawa atapata.
🤣🤣🤣🤣Hii ni mbaya sana shindii 🥲 umefafanua kwa kirefu mno
Shindii kwa kujifanya hamnazo haujambo😅😅😅🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 shindii punguza pombe.Shindii kwa kujifanya hamnazo haujambo😅😅😅
Shindiii siku hizi nakunywa chakarii siku mbili tu kwa wiki , hizi nyingine natengeneza vibundiii shindiii 🥲🤣🤣🤣🤣 shindii punguza pombe.
Tupe hela tuchimbe kaburi.Shindiii siku hizi nakunywa chakarii siku mbili tu kwa wiki , hizi nyingine natengeneza vibundiii shindiii 🥲
HahahahaTupe hela tuchimbe kaburi.