DOKEZO Wale wa mkopo ESS usijichanganye kuchukua mkopo Azania benki

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe bado upo kwenye dimbwi la umaskini na umeshakuwa addicted na mikopo. Sio Kila tatizo linatatuliwa na mikopo weka akiba mnyampaa utakuwa mtumwa wa mabenki na vi microfinance
Inawezekana uliyoandika ni kinyume chake ndio ukweli,nionyesha tajiri ambae hajawahi kukopa issue hapa ungeniuliza nataka kwenda kufanyia nini,kwa taarifa yako nilishatoka kwenye dimbwi la umasikini kabla sijafika miaka 30.
 
Kwa hiyo pale Azania title yako ni ipi!?
 
Wewe bado upo kwenye dimbwi la umaskini na umeshakuwa addicted na mikopo. Sio Kila tatizo linatatuliwa na mikopo weka akiba mnyampaa utakuwa mtumwa wa mabenki na vi microfinance
unawezaweka akiba mpaka ukafikisha milioni 15 kwa mshahara wa laki 7???
Watu wenye vibonus na makanajanja makazini huwa mna ushauri sana kwenye masuala ya pesa na kuona wengine ni wafujaji wa pesa.
 
Kabla ya kufika huko benki lazima wapitishe ndio iende kwa HRO, Walipitishaje kama mfumo wao hausomani na mfumo wa ESS?
 
Azania Bank tawi la Mwenge walinikopesha ml.35 mwaka 2011 na dhamana yangu ilikuwa mshahara ofisini. Baada ya mwezi mmoja muajiri akaniletea za kuleta nikaondoka kazini bila hata kuaga nikasepa. Mhaya mmoja wa hiyo Bank akaanza kunipigia simu nikupe,nikakwambia kama niliweka dhamana nyumba au kiwanja basi wakakiuze,lakini kama dhamana ilikuwa ni mshahara basi wamfuate muajiri awalipe,sikuwasikia tena
 
Kabla ya kufika huko benki lazima wapitishe ndio iende kwa HRO, Walipitishaje kama mfumo wao hausomani na mfumo wa ESS?
Ndio maana ninasema ni utapeli kutakuwa na foleni kubwa ambayo hawaimudu wanaweka watu kwenye batch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…