Wale wa Mzumbe University, tujadiliane hapa

nakushauri tu statistics ya mzumbe ni nzuri sana na ina soko soma hyohyo usihamie baf ajira mbinde coz wahasibu weng mno mtaani mzumbe panahitaji msuli wa kutosha hakuna masikhara so uende ukijua kuwa hauko udom pale kudisco ni njenje

Nmekusoma mkuu hope ntapambana na BAF yng..
 

Pamoja sana..
 
Kwa ishu ya baf inahitaji msuli sana ili uwe na gpa nzuri,ukiongeza na cpa ajira njenjenje@tchaoo
 
mwenzio nimeshamaliza tayar hapo mzumbe pole` yako ww ambaye huna hata registration namba!! halafu inaonekana ww bado una akili za secondary..
 
Karibuni cha muhimu usiangalie jina la chuo ila fuata unachotakiwa ukipate, la sivyo utaishia njiani. Hongereni.
 
madogo tatizo wana mizuka sanah! wakigonngwa test 1 kwanza ndo watakaa sawa..
 
hey sorry,,, hv majina ya waliochaguliwa mzumbe yameshakua announced ooo nyie mlipata chance ya kuchek via airtel cz mdogo wangu aliomba mzumbe pia na nikichek ata kwny website yao cjaona majina,,, naomben msaada kwa hili
 
Waambie hao mkuu wamekariri sana...[/QUOTE]
Cpa ndo mpango mzma...unabisha nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…