Wadogo zangu nendeni mkaishi kwa kufuata sheria za chuo,jitambueni kuwa tayari mpo katika jamii ya wasomi. Elimu ya mzumbe toka mwaka 2012 wamebadilisha utungaji wa mitihani,majaribio kuwa ya "critical thinking" zaidi kuliko majibu direct from lectures. Nimefanya 1st and 2nd degree pale in HRM. Elimu ni zaidi ya unachofundishwa darasani,kuweni watafiti na wenye shauku ya kujua mabo yanayo husiana na kile unachosoma,hii itakusaidia kupanua upeo wako. Msidharau test,assignments maana ndizo zitakazo unda 50% ya your final marks every year. Jitahidini sana kupata GPA nzuri (at least 3.5 and above) tokea mwaka wa kwanza ili majumuisho ya final year yaweze kukupa class nzuri katika cheti chako. Epukeni makundi na tabia za kuiga zisizo na faida kwenu.
Mwenyezi Mungu akitupa uzima,tutasaidiana kipindi cha field na hata ajira kushaurina namna ya ku-win soko la ajira.
Naipenda mzumbe.Kwa kubadilishana mawazo (0657504089)