Wale wa SAUT jitazameni hapa

Wale wa SAUT jitazameni hapa

Saut wana matawi mapya Arusha na mbeya kwa hiyo kama umepangwa educ waweza pelekwa popote kwenye matawi hayo.
 
labda watatoa muda si mrefu, ila ni vizuri kama wangespecfy moja kwa moja.
nimeangalia campus zake nimegundua ni centre mbili ya arusha na mbeya ndo hawataweza kutangaza selection wao wenyewe moja kwa moja,hiyo ya mtwara ndo inaitwa stella maris,kuna mtu nilimuangalizia through airtel nikaona amechaguliwa hicho chuo hivyo na wao watatangaza za kwao wenyewe pia
 
dah ila loanboard inabidi warelease faster isije ikawa kama TCU walivyochelewa asee

lakini jiandae manake wanadai kwa wale walioapply loan board wanatakiwa kulipa kiasi cha sh laki tatu na nusu kwanza ili kuwa registered
 
wakuu,mimi nina ombi,kama kuna mwenye kuweza kunisaidia au hata kuniunganisha na dalali wa kunisaidia kutafuta nyumba maeneo ya hapo chuo au hata ikiwa mbali kidogo,nataka nyumba ya vyumba viwili na sebule au hata vitatu,
 
Ivi vipi kuhusu walio omba wa kiwa na Diploma.NACTE nayenyewe watatoa lini,wadau naombeni msada
nyota poa, majina yanapotolewa na chuo inajumuhisha wote walioapply kupitia TCU na NACTE,hayo yaliotolewa leo imejumuhisha wote walioapply through TCU and NACTE,mi nawafahamu walioapply NACTE na wameona majina yao kwenye selection ya SAUT
 
wakuu,mimi nina ombi,kama kuna mwenye kuweza kunisaidia au hata kuniunganisha na dalali wa kunisaidia kutafuta nyumba maeneo ya hapo chuo au hata ikiwa mbali kidogo,nataka nyumba ya vyumba viwili na sebule au hata vitatu,

mkuu mie nkutafutie labda utanpa tafu make room 3 c mchezo
 
Back
Top Bottom