Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
GT allen Mwita je loanboard wanaweza kuwawahi hao wa SAUT wakaenda wanajua % za mkopo wao?
Mkopo utawakuta chuoni.
HOpe loanboard watarelease mapema,let us wish
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GT allen Mwita je loanboard wanaweza kuwawahi hao wa SAUT wakaenda wanajua % za mkopo wao?
Mkopo utawakuta chuoni.
HOpe loanboard watarelease mapema,let us wish
nimeangalia campus zake nimegundua ni centre mbili ya arusha na mbeya ndo hawataweza kutangaza selection wao wenyewe moja kwa moja,hiyo ya mtwara ndo inaitwa stella maris,kuna mtu nilimuangalizia through airtel nikaona amechaguliwa hicho chuo hivyo na wao watatangaza za kwao wenyewe pialabda watatoa muda si mrefu, ila ni vizuri kama wangespecfy moja kwa moja.
dah ila loanboard inabidi warelease faster isije ikawa kama TCU walivyochelewa asee
nyota poa, majina yanapotolewa na chuo inajumuhisha wote walioapply kupitia TCU na NACTE,hayo yaliotolewa leo imejumuhisha wote walioapply through TCU and NACTE,mi nawafahamu walioapply NACTE na wameona majina yao kwenye selection ya SAUTIvi vipi kuhusu walio omba wa kiwa na Diploma.NACTE nayenyewe watatoa lini,wadau naombeni msada
wakuu,mimi nina ombi,kama kuna mwenye kuweza kunisaidia au hata kuniunganisha na dalali wa kunisaidia kutafuta nyumba maeneo ya hapo chuo au hata ikiwa mbali kidogo,nataka nyumba ya vyumba viwili na sebule au hata vitatu,
mkuu mie nkutafutie labda utanpa tafu make room 3 c mchezo
843 RASHIDI , ABDUL M S0914/0082/2008 SAUT/MC 2013/BAED 843
Ba Education.