Wale wa SAUT jitazameni hapa

Wale wa SAUT jitazameni hapa

ni swali la msingi,ila nadhani niliona mihayao tabora walishatoa sasa wanapangaje tena?labda centre ya bukoba ndo cjaona matokeo yao,nasikia pia wana tawi mtwara ila sijui linaitwaje,pia kwenye orodha ya majina si wange-indicate kuwa fulani bin fulani anaenda campas gani

hawapangi mtu kwenye matawi yao. Mtu atapata selection directly frm tcu, kama ni saut bukoba au tabora au mwatara nk. Alie andikiwa saut ni wa main campus mwz. Direct frm admission officer, saut mwz. Hata ambao hamjapata chuo au hamja apply mnaweza kuja tu ila utegemee kujilipia make mkopo umekuwa kero sn japo ni haki yako, kwani utakuwa umechelewa. Then saut watatuma maj
 
we nina shaka na hayo maelezo iweje mtu amekosa chuo labda ana ufaulu mbovu aje akubaliwe saut?! Noo sio kweli
 
we nina shaka na hayo maelezo iweje mtu amekosa chuo labda ana ufaulu mbovu aje akubaliwe saut?! Noo sio kweli

inawezekana kwa vyuo tena vingi tu, mfano SAUT kuna ambao walikosa principle mwaka jana na wakasoma remedial then wapo hadi sahv wamejiunga na mwaka wa masomo na ada wanajilipia.
 
na walioomba hapo SAUT kwenye second round majina yao yametolewa pia?
 
na walioomba hapo SAUT kwenye second round majina yao yametolewa pia?

Haya majina yamewekwa leo, kwa hiyo hata majina ya walioomba kwenye 2nd round yatakuwa humu, labda kama unaongelea 3rd round ambayo inakoma tarehe 30.
 
Wadau maji yako shngon niangalizien jina langu MLEKWA MASHALLA SOSTHENES. (BAED)

Pole mdau, jina lako halipo kwenye hii list ya SAUT,hope utakuwa kwenye vyuo vingine ambavyo havijatoa majina.
 
Jamani msaada wadau! Mr Stake holder na wengine, Naomba mnitazamie na mimi jina langu AIDAN ELIEZA. (Baed)
 
Back
Top Bottom