Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni swali la msingi,ila nadhani niliona mihayao tabora walishatoa sasa wanapangaje tena?labda centre ya bukoba ndo cjaona matokeo yao,nasikia pia wana tawi mtwara ila sijui linaitwaje,pia kwenye orodha ya majina si wange-indicate kuwa fulani bin fulani anaenda campas gani
hawapangi mtu kwenye matawi yao. Mtu atapata selection directly frm tcu, kama ni saut bukoba au tabora au mwatara nk. Alie andikiwa saut ni wa main campus mwz. Direct frm admission officer, saut mwz. Hata ambao hamjapata chuo au hamja apply mnaweza kuja tu ila utegemee kujilipia make mkopo umekuwa kero sn japo ni haki yako, kwani utakuwa umechelewa. Then saut watatuma maj
haya ndo mambo yanayonifanya nisijutie uamizi wangu wa kuichagua jamii forums asante sana Comrade kwa kazi hii nzuri
we nina shaka na hayo maelezo iweje mtu amekosa chuo labda ana ufaulu mbovu aje akubaliwe saut?! Noo sio kweli
muu mie nkutafutie labda utanpa tafu make room 3 c mchezo
510 ABDALLAH , JUMA M S1071/0284/2008 SAUT/MC 2013/BAED 510
Ba Education.