Wale wa Songea, tufahamiane na kukumbushana mawili matatu

Wale wa Songea, tufahamiane na kukumbushana mawili matatu

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu Salam kwenu.
Wale wa Songea , Songea yetu ya wangoni, wamatengo, wayao na wengine wengi, wale tunaopita njombe, Lilondo, madaba, mkongotema, shule ya Tanga, mbinga, Nyasa, mbambabay, lituhi, matimila njooni tusemezane kitu wanalizombe
 
Wale tunaokula dagaa nyasa, samaki aina ya mberere na mbufu pembeni ugali wa muhogo njooni tusalimiane
 
"Niwoka lepa mpaka nimala ugembe, haiwezekani haiwezekani mpaka nimala ugembe"
"Ninapotaka mimi ni halo tu x2......"
Madoda na akina Kachiki kalibuni kumfuleni
 
IMG_8908.JPG
 
Namanditi, Matarawe, Lizaboni, Ruhuwiko,Ruvuma
Karibuni hapa vijana pub tupate 2,3
 
Songea, Mbinga, litembo,
Kahawa murua na Viazi vitamu,
Nitarudi kutembea kula aisee.
 
Matarawe, Mletele, Temboni, Matogoro, Mashujaa, Bombambili, Disco la Buhemba.
 
Nakumbuka chama lagu songea boys secondary (BOX 2)
Daaah mkuu kumbe we mboy

Tamsala vp ulienda Pin, na Joint Mass vipi Milango 9, bustani, kuchunga ng'ombe, shadufu, Mashineni
 
Liti Madaba. Nakumbuka timu ya mpira ilikuwa hatari sana namkumbuka Computer. Uuwanja Wa Madaba ipale center. Kwa Wandendeule .. Kipindi hicho mkienda Songea town njiani ukimkuta mtu na gari yake imepata pancha mnamuambia vipi Rambo unalalamika pancha wakati kuna Oko !
 
Hahahahahaaa,Sanangula,Mitawa,Liweta,Kituro,Mpandangindo,Masigira,Lihwena,Litola,Namtumbo,Hanga Ngadinda,Hangamonasteri,Likuyufusi nk
 
Back
Top Bottom