Wale wa Songea, tufahamiane na kukumbushana mawili matatu

Wale wa Songea, tufahamiane na kukumbushana mawili matatu

Hahahaha, ukitaka kujua mboys lazima ataje hivyo vitu! Umenikumbusha mbali sana kuhusu Tamsala...
Ha ha ha ha ha Mkuu ile kambi ni hatari kwa Ma Mpenzi

Ila songea boys ya wakati ule ....ilikuwa kiboko ....wazee Wa kwenda disco tamsala .....na chupa ya ulanzi
Hiyo ndo ilikua ya kuoga mkuu na kupiga unyunyu
 
Mmmmh! Ngati muhambili kumbwani mugegewa na vadala va kumbwani, na muwuya lepa kunyumba ndi kwa mana gibakali mang'ova tu. Mbwela kumatila mlya madonga,ndavatava, ngohanu na matunda Mungu andee.
 
Mechi kal ilkua ni kati ya Daban(Madaba) vs Njegea. mechi iyo ilkua lazma ngumi zipigwe, ugomv huo uliendelea adi kwa madogo wa primary wakikutana madab na njegea ilkua lazma watandikane manati
Umepatia kinoma Daban dah. Jina la Njegea lilinitoka haha. Ila Maisha yana songa Sana oi.
 
Back
Top Bottom