Wakuu Salam kwenu.
Wale wa Songea , Songea yetu ya wangoni, wamatengo, wayao na wengine wengi, wale tunaopita njombe, Lilondo, madaba, mkongotema, shule ya Tanga, mbinga, Nyasa, mbambabay, lituhi, matimila njooni tusemezane kitu wanalizombe
"Niwoka lepa mpaka nimala ugembe, haiwezekani haiwezekani mpaka nimala ugembe" "Ninapotaka mimi ni halo tu x2......"
Madoda na akina Kachiki kalibuni kumfuleni
Liti Madaba. Nakumbuka timu ya mpira ilikuwa hatari sana namkumbuka Computer. Uuwanja Wa Madaba ipale center. Kwa Wandendeule .. Kipindi hicho mkienda Songea town njiani ukimkuta mtu na gari yake imepata pancha mnamuambia vipi Rambo unalalamika pancha wakati kuna Oko !