Ha ha ha ha ha Mkuu ile kambi ni hatari kwa Ma MpenziHahahaha, ukitaka kujua mboys lazima ataje hivyo vitu! Umenikumbusha mbali sana kuhusu Tamsala...
Hiyo ndo ilikua ya kuoga mkuu na kupiga unyunyuIla songea boys ya wakati ule ....ilikuwa kiboko ....wazee Wa kwenda disco tamsala .....na chupa ya ulanzi
Principal Mwingira mkuu Demba Ba 😀 kumbe Na wewe ni kikongwe humu!ulikuwa liti kipindi kipi mkuu?.. mwingira, kombe, nkenwa, ama kisinga?
Mmmmh! Ngati muhambili kumbwani mugegewa na vadala va kumbwani, na muwuya lepa kunyumba ndi kwa mana gibakali mang'ova tu. Mbwela kumatila mlya madonga,ndavatava, ngohanu na matunda Mungu andee.Mwingira
Umepatia kinoma Daban dah. Jina la Njegea lilinitoka haha. Ila Maisha yana songa Sana oi.Mechi kal ilkua ni kati ya Daban(Madaba) vs Njegea. mechi iyo ilkua lazma ngumi zipigwe, ugomv huo uliendelea adi kwa madogo wa primary wakikutana madab na njegea ilkua lazma watandikane manati