mkuuu natafuta demu la nguvu nasikia kuna samaki samaki...maisha club...dahhhh ninahamu sana na kujoin hapo chuoDogo hongera kwa kuchaguliwa agribussines.hii coz unakuja solomon mahlangu campus aka mazimbu.hiyo coz yenu hapa tunaiita aea.ina watoto wakali balaa dogo utaenjoy.kampus yetu mazimbu ndo wajanja kibao full kujiachia na totoz za hapa ni kali usipime.karibu dogo
UDOM nae wapo njiani kuachia
mkuuu natafuta demu la nguvu nasikia kuna samaki samaki...maisha club...dahhhh ninahamu sana na kujoin hapo chuo
Kuna colum sijazielewaa waki kwandikoa hivi FT,BS,SFR wana manisha nini pale na au zile pesa ni za nn MA nime elewa na meals and accomidation msaada tafadhari
Dogo haina haja ya kuwafuata huko kote.mule mule ndani wapo watoto wazuri.njoo ule maisha dogo hawa watoto wazuri wamejaa hapa.njoo kaka zako tuna faidi kweli hapa
Udsm serikali haina hela subirini kwanza vipate vyuo vyenye umuhimu kwanza kama sua na muhimbili na nyinyi mtafikiriwa
daahh kaka unanipa hamu ya kuwahi kufika..hadi sasa mkuu unamiliki goma ngapi mkuu...mimi ntatafuta kama tatu zilizoshiba.....daaahhhh nahamu ya kuwahi k
ufika ili pale pale reg.nakamatia goma
Wewe utakuwa una matatizo ya akili tu sio bure
Serikali haina hela.vyuo vichanga kama udom tunaomba uvumilivu wenu mpaka vyuo vikubwakubwa vipate kwanza
Dogo mpaka sahv nishapiga ngoma kama nne hivi.bado na nyinyi mkifik lazima nichukue kamoja.xa skia dogo pale pale kwenye registration foleni inakuwaga ndefu so toto utakaloona linakuvutia haitakiwi ufanye makosa unacheza ka pele.njoo tule maisha pale sua mikopo hawazingui mkifika tu mna sign 695000 sh.hamja kaa vzr mwezi wa kumi na mbl mna sign 495000,then hapo unasubr mwezi wa kwanza unaku sign 120000.mihela yote hiyo ushindwe kudaka migoma mikali
nijuze boy vp tathmini.weng wamkosa au kupata samahani lakini
Kuna colum sijazielewaa waki kwandikoa hivi FT,BS,SFR wana manisha nini pale na au zile pesa ni za nn MA nime elewa na meals and accomidation msaada tafadhari
Naona serkali wameamua waanze na chuo cha mifugo SUA, ni vizuri lakini.
Kwa hiyo kuwa na ghorofa ndo bataa eeh.mbona hata ifm bata lipo ila watoto wa kike wanajiuza na wenyewe maisha magumu kwani.acha dogo aje afaidi vitoto vizuri vya IT,AEA,BRD na BTMMazimbu hakuna bata acha kumpotosha dogo, chuo hakina hata gorofa alafu wanafunzi wengi wa sua njaa tu daily wanashinda kule barakuda dark city kukwapua mikoda ya wananchi.
Povu jingiii.pale kuna education,informatics,tourism,agribussiness,rural dvp etc etc na wenyewe wanasomea mifugo eeh.vyuo vya kata bana
Kwa hiyo kuwa na ghorofa ndo bataa eeh.mbona hata ifm bata lipo ila watoto wa kike wanajiuza na wenyewe maisha magumu kwani.acha dogo aje afaidi vitoto vizuri vya IT,AEA,BRD na BTM
If u dont know kaa kimya.coz za pale nyingi ni unique.ud mwaka huu kuna hadi four sa kama sua wenye three we unawaona vipanga hao ud wenye four sijui utawaitaje and nitajie chuo chochote unachodhani hakichukui three"
Hahaha look it "CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE" so ni chuo cha kilimo, alafu shida adabu kijana Sua Zimejaa div3 mbovu pale na wote waliokosa nafasi Muhas Bugando kusoma MD na phamarcy ndo hutupwa hapo kwenye kambi ya waliokata tamaa hahahahaha alafu ulivyo na akili chakavu unataka ufananisha SUA na Mzumbe UDSM wanaobeba vipanga wenye div1 &2 kali. Kijana acha mchecheto wewe mfugaji.