NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
mkuuu natafuta demu la nguvu nasikia kuna samaki samaki...maisha club...dahhhh ninahamu sana na kujoin hapo chuoDogo hongera kwa kuchaguliwa agribussines.hii coz unakuja solomon mahlangu campus aka mazimbu.hiyo coz yenu hapa tunaiita aea.ina watoto wakali balaa dogo utaenjoy.kampus yetu mazimbu ndo wajanja kibao full kujiachia na totoz za hapa ni kali usipime.karibu dogo