Wale wa SUA mkopo huu hapa

Wale wa SUA mkopo huu hapa

Dogo hongera kwa kuchaguliwa agribussines.hii coz unakuja solomon mahlangu campus aka mazimbu.hiyo coz yenu hapa tunaiita aea.ina watoto wakali balaa dogo utaenjoy.kampus yetu mazimbu ndo wajanja kibao full kujiachia na totoz za hapa ni kali usipime.karibu dogo
mkuuu natafuta demu la nguvu nasikia kuna samaki samaki...maisha club...dahhhh ninahamu sana na kujoin hapo chuo
 
Dogo haina haja ya kuwafuata huko kote.mule mule ndani wapo watoto wazuri.njoo ule maisha dogo hawa watoto wazuri wamejaa hapa.njoo kaka zako tuna faidi kweli hapa
 
Kuna colum sijazielewaa waki kwandikoa hivi FT,BS,SFR wana manisha nini pale na au zile pesa ni za nn MA nime elewa na meals and accomidation msaada tafadhari

FPT-Pesa ya field practical training, BS- Pesa kwa ajili ya Books and stationary, SFR-pesa ya Special faculty requirements, karibu SUA
 
Dogo haina haja ya kuwafuata huko kote.mule mule ndani wapo watoto wazuri.njoo ule maisha dogo hawa watoto wazuri wamejaa hapa.njoo kaka zako tuna faidi kweli hapa

daahh kaka unanipa hamu ya kuwahi kufika..hadi sasa mkuu unamiliki goma ngapi mkuu...mimi ntatafuta kama tatu zilizoshiba.....daaahhhh nahamu ya kuwahi k
ufika ili pale pale reg.nakamatia goma
 
Dogo mpaka sahv nishapiga ngoma kama nne hivi.bado na nyinyi mkifik lazima nichukue kamoja.xa skia dogo pale pale kwenye registration foleni inakuwaga ndefu so toto utakaloona linakuvutia haitakiwi ufanye makosa unacheza ka pele.njoo tule maisha pale sua mikopo hawazingui mkifika tu mna sign 695000 sh.hamja kaa vzr mwezi wa kumi na mbl mna sign 495000,then hapo unasubr mwezi wa kwanza unaku sign 120000.mihela yote hiyo ushindwe kudaka migoma mikali
 
Mazimbu hakuna bata acha kumpotosha dogo, chuo hakina hata gorofa alafu wanafunzi wengi wa sua njaa tu daily wanashinda kule barakuda dark city kukwapua mikoda ya wananchi.
 
Naona serkali wameamua waanze na chuo cha mifugo SUA, ni vizuri lakini.

Povu jingiii.pale kuna education,informatics,tourism,agribussiness,rural dvp etc etc na wenyewe wanasomea mifugo eeh.vyuo vya kata bana
 
Mazimbu hakuna bata acha kumpotosha dogo, chuo hakina hata gorofa alafu wanafunzi wengi wa sua njaa tu daily wanashinda kule barakuda dark city kukwapua mikoda ya wananchi.
Kwa hiyo kuwa na ghorofa ndo bataa eeh.mbona hata ifm bata lipo ila watoto wa kike wanajiuza na wenyewe maisha magumu kwani.acha dogo aje afaidi vitoto vizuri vya IT,AEA,BRD na BTM
 
"
Povu jingiii.pale kuna education,informatics,tourism,agribussiness,rural dvp etc etc na wenyewe wanasomea mifugo eeh.vyuo vya kata bana

Hahaha look it "CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE" so ni chuo cha kilimo, alafu shida adabu kijana Sua Zimejaa div3 mbovu pale na wote waliokosa nafasi Muhas Bugando kusoma MD na phamarcy ndo hutupwa hapo kwenye kambi ya waliokata tamaa hahahahaha alafu ulivyo na akili chakavu unataka ufananisha SUA na Mzumbe UDSM wanaobeba vipanga wenye div1 &2 kali. Kijana acha mchecheto wewe mfugaji.
 
Kwa hiyo kuwa na ghorofa ndo bataa eeh.mbona hata ifm bata lipo ila watoto wa kike wanajiuza na wenyewe maisha magumu kwani.acha dogo aje afaidi vitoto vizuri vya IT,AEA,BRD na BTM

Sasa hebu niambie SUA kule mazimbu yalipokuwa makambi ya wakimbizi wa south kuna bata gani? Chuo kama shule ya msingi bhana.
 
"

Hahaha look it "CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE" so ni chuo cha kilimo, alafu shida adabu kijana Sua Zimejaa div3 mbovu pale na wote waliokosa nafasi Muhas Bugando kusoma MD na phamarcy ndo hutupwa hapo kwenye kambi ya waliokata tamaa hahahahaha alafu ulivyo na akili chakavu unataka ufananisha SUA na Mzumbe UDSM wanaobeba vipanga wenye div1 &2 kali. Kijana acha mchecheto wewe mfugaji.
If u dont know kaa kimya.coz za pale nyingi ni unique.ud mwaka huu kuna hadi four sa kama sua wenye three we unawaona vipanga hao ud wenye four sijui utawaitaje and nitajie chuo chochote unachodhani hakichukui three
 
Back
Top Bottom