Wale wa SUA mkopo huu hapa

Wale wa SUA mkopo huu hapa

Kama umechaguliwa SUA na hujajua umepata kiasi gani cha mkopo,tupia namba yako na mimi nitakutajia kiasi ulichopata.
 
Wale wa Sua mkopo huu hapa wengine kueni na subira !!

freshers.pdf
wakuu wa SUA mm nakuja kuanza first year bsc.agri economics and agribusiness....naulizia kuhusu bata hapo sokoine mana nataka nijiachie sana nasikia chuo kikuu si kama sekondari nadhani maisha yatakuwa fresh sana na ukiangalia nataka nikija nikamatoe toto ya nguvu.....nahamu ya kuingia chuo kikuu ile mbaya na mkopo wamenitupia asilimia nzuri....
 
ndo unachokiwaza?!
 
Dogo hongera kwa kuchaguliwa agribussines.hii coz unakuja solomon mahlangu campus aka mazimbu.hiyo coz yenu hapa tunaiita aea.ina watoto wakali balaa dogo utaenjoy.kampus yetu mazimbu ndo wajanja kibao full kujiachia na totoz za hapa ni kali usipime.karibu dogo
 
Ni kweli eti hakuna mwenye dvsn four aliepata mkopo SUA.
maana kitaa kunastori kua wenye dv4 wote hawatapewa, nikweli??
 
Back
Top Bottom