Wa MUCE nao tayari. Majina haya hapa:
kweli???!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa MUCE nao tayari. Majina haya hapa:
Wa MUCE nao tayari. Majina haya hapa:
sasa hii falsafa ya mwaka huu ya TCU name heslb sijui ndo nini kutoa chuo kimojakimoja
Ndiyo mkuu. Fungua kiambatisho utaona.kweli???!
wakuu wa SUA mm nakuja kuanza first year bsc.agri economics and agribusiness....naulizia kuhusu bata hapo sokoine mana nataka nijiachie sana nasikia chuo kikuu si kama sekondari nadhani maisha yatakuwa fresh sana na ukiangalia nataka nikija nikamatoe toto ya nguvu.....nahamu ya kuingia chuo kikuu ile mbaya na mkopo wamenitupia asilimia nzuri....

ndo unachokiwaza?!
Tujulishane kuhusu udsm wakuu
Kama umechaguliwa SUA na hujajua umepata kiasi gani cha mkopo,tupia namba yako na mimi nitakutajia kiasi ulichopata.
Udsm serikali haina hela subirini kwanza vipate vyuo vyenye umuhimu kwanza kama sua na muhimbili na nyinyi mtafikiriwa

mhh mbona jina langu halipooo
unataka tukusifie
nijuze boy vp tathmini.weng wamkosa au kupata samahani lakini