Wale wa Ubungo, Kimara na Mbezi jiandaeni na foleni kuanzia Septemba 2, 2024

Wale wa Ubungo, Kimara na Mbezi jiandaeni na foleni kuanzia Septemba 2, 2024

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa wale mnaokaa huko mjipangee ujenzi unaoendeleea wameshauri wafunge upande mmoja.

Upande mwingine mtaelekezwa jinsi ya kupita na magari yenu.

Ushauri ni kama hamna umuhimu wa kwenda na gari mjini panda mwendokasi.

Vijana wakiwa na nguo za njano reflector watakuwa pale kuwasaidia kuwaongoza.

Kazi iendeleeeeee.
 
Njia mbadala muhimu
Michepuko inahitajika
Kikubwa kufika na kuondoka sehemu ya kazi kwa muda muafaka
 
Back
Top Bottom