Wale wa Ubungo, Kimara na Mbezi jiandaeni na foleni kuanzia Septemba 2, 2024

Wale wa Ubungo, Kimara na Mbezi jiandaeni na foleni kuanzia Septemba 2, 2024

Wasifunge Kwanza hadi wapitishe grada barabara za vumbi.Halafu hawa wa machinga walipo kimara karibu na kanisa watoke
 
Kwa wale mnaokaa huko mjipangee ujenzi unaoendeleea wameshauri wafunge upande mmoja.

Upande mwingine mtaelekezwa jinsi ya kupita na magari yenu.

Ushauri ni kama hamna umuhimu wa kwenda na gari mjini panda mwendokasi.

Vijana wakiwa na nguo za njano reflector watakuwa pale kuwasaidia kuwaongoza.

Kazi iendeleeeeee.


Wangeruhusu njia ya mwendokasi magari binafsi yapite hadi ujenzi ukamilike, wachukue huu ushauri watakuja nishukuru
 
Back
Top Bottom