Wale wa Ubungo, Kimara na Mbezi jiandaeni na foleni kuanzia Septemba 2, 2024

Hilo jiji sometimes linakera.. kwenye lami utakuta wameweka mituta mikubwa ss wenye gari za chini tunaumiza magari.

Haya.. kwenye vumbi napo mishimo kibao, yaani ni tabu tupu.
 
Wanaotumia magari naona kama wanateseka

Ova
 
Ningeshauri hizo barabara za dar tumazalize kwanza Moja kabla ya kurukia nyingine, tumalize kwanza ile ya Tazara kuelekea airport iwe full operational ndio tudandie nyingine
 
Inahusiana nini na moro road
 
Back
Top Bottom