Ni mwendo wa Chuo kikuu Njia nne goba mbezi mwisho chaap.
ni huzuniTumia BRT au daladala za Giba, Kinyerezi kufika Mbezi
Unafikiri kujenga brt ni sawa na kujenga choo!?Pale Airport tu wameshindwa kumaliza mpaka leo foleni na usumbufu wa pale ni balaa, huko sijui itakuaje
Inahusiana nini na moro roadNingeshauri hizo barabara za dar tumazalize kwanza Moja kabla ya kurukia nyingine, tumalize kwanza ile ya Tazara kuelekea airport iwe full operational ndio tudandie nyingine
Hapo bado utakua na 'mwendokasi'?Wangeruhusu njia ya mwendokasi magari binafsi yapite hadi ujenzi ukamilike, wachukue huu ushauri watakuja nishukuru
Barabara inapanuliwa kuwa njia nane,kutoka Ubungo daraja la Kijazi mpaka Kimara.Ujenzi gani unaoendelea?
Vyoo tu mmeshindwa kuna baadhi ya shule mpaka leo zina choo kimoja, kwahiyo kuwa na heshima na choo.Unafikiri kujenga brt ni sawa na kujenga choo!?