wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

2pia coz gan unaenda kusomea ili 2juane mapemaaaa ! Ili 2kifika huko 2sihangaike huwez jua 2naweza 2kawa hata room moja,me nipo ba ed in guidence and counseling ,ww je ? Ma2c hayaruhusiwi....! Karibun 2juane

tuko pamoja sana pspa ndo yangu!! Udom home
 
Bachelor of education in planning,policy and management
 
sasa hiyo PS PA mpaka pinda au makinda hatoke madarakani hivi ni lini? Wewe jiandae kuwa mwl wa tempo kwenye masomo ya gs na civics

PSPA c lazima nishike nafasi ya makinda au pinda ndugu hata nikiwa mwalim yote majaaliwa ya mwenyezi mungu!!!
 
Back
Top Bottom