wale wa udsm tufamiane apa

wale wa udsm tufamiane apa

Umeandika kwa Morale .. Tarehe 12 karibu sana... Ukale msuli ka wa advance tena, Maana naskia COeT balaa

Kweli kabisa asee,nasikia pale ni pagumu kiukweli hasa hii kozi yetu bana Dansel nasikia ni mziki.Ila tukajikakamue tutatoka tu.
 
Dah kiukweli mi mwenyewe nisuburia kwa hamu siku ya kwamza ya lecture...... Pamoja sana jamani mi nimepewa Bed psychology... Msuli tuu
 
Kweli kabisa asee,nasikia pale ni pagumu kiukweli hasa hii kozi yetu bana Dansel nasikia ni mziki.Ila tukajikakamue tutatoka tu.

Yanii hapo ni kukubali kujila tu ili kumake vizuri .. Let us prepare for the war
 
Hakuna yeyote humu aliyetupiwa cozy yoyote ya mafuta....me npo petroleum chemistry
 
karibuni sana madogo wote waliochaguliwa UDSM mwaka huu,kaka zenu tunaripoti oct 21,nyinyi lazima mje mapema kwa ajili ya orientation course itakayoanza jumatatu ya oct 14(main campus,DUCE & MUCE),katika suala la msuli mtu asikutishe sana,kama umekuja chuo kusoma kisawasawa utafaulu tu,ila kama umekuja kurelax tu lazima uage mashindano mapema sana(kudisco),u are welcome to UDSM
 
METAL emu jaribu kutupa uhalisia wa mambo in equiped details kuhusu udsm...tunakutegemea mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom