faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
tarehe 12 ndo tunaingia so jamani tupeane ushilikiano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina kwere jombaa.
Umeandika kwa Morale .. Tarehe 12 karibu sana... Ukale msuli ka wa advance tena, Maana naskia COeT balaa
Kweli kabisa asee,nasikia pale ni pagumu kiukweli hasa hii kozi yetu bana Dansel nasikia ni mziki.Ila tukajikakamue tutatoka tu.
Msaada duce....joining instruction tunapataje?
METAL emu jaribu kutupa uhalisia wa mambo in equiped details kuhusu udsm...tunakutegemea mkuukaribuni sana madogo wote waliochaguliwa UDSM mwaka huu,kaka zenu tunaripoti oct 21,nyinyi lazima mje mapema kwa ajili ya orientation course itakayoanza jumatatu ya oct 14(main campus,DUCE & MUCE),katika suala la msuli mtu asikutishe sana,kama umekuja chuo kusoma kisawasawa utafaulu tu,ila kama umekuja kurelax tu lazima uage mashindano mapema sana(kudisco),u are welcome to UDSM
Pamoja