faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
- Thread starter
-
- #21
METAL emu jaribu kutupa uhalisia wa mambo in equiped details kuhusu udsm...tunakutegemea mkuu
METAL Kuna hili swala la registration na admission ni vitu gani (vyeti) vinavyohitajika kumaliza mchakato mzima bila usumbufulabda ungeanalyze kitu gani ambacho unataka kujua kutoka kwangu kuhusu udsm
METAL Kuna hili swala la registration na admission ni vitu gani (vyeti) vinavyohitajika kumaliza mchakato mzima bila usumbufu
kuhusu suala la registration lazma uwe na admission letter ambayo inapatikana sehemu ulikopangiwa,main campus,DUCE na MUCE.Na vitu vinavyotakiwa wakati wa registration ni-1.direct costs 2.lazima ulipie accomodation kama umepata hosteli za chuo 3-vyeti vinavyotakiwa ni (a) academic certificate form 4(original na copy yake) (b) result slip ya form 6(original na copy yake) (c) birth certificate(original na copy yake) (d) death certificate kama umeondokewa na mzazi mmoja au wote(original na copy yake) (e) kama una matatizo ya kiafya uje na form ambayo umepimwa na daktari (f) vitu vingine utavijua tu pindi ufikapo chuo,karibu sana dogo UDSM.
karibuni sana madogo wote waliochaguliwa UDSM mwaka huu,kaka zenu tunaripoti oct 21,nyinyi lazima mje mapema kwa ajili ya orientation course itakayoanza jumatatu ya oct 14(main campus,DUCE & MUCE),katika suala la msuli mtu asikutishe sana,kama umekuja chuo kusoma kisawasawa utafaulu tu,ila kama umekuja kurelax tu lazima uage mashindano mapema sana(kudisco),u are welcome to UDSM
tarehe 12 ndo tunaingia so jamani tupeane ushilikiano
Hongereni Kwa kuchaguliwa udsm Madogo......ila mjue kuna kubebana sio mtu anakuomba umbebe unafany roho mbaya. Huo ndio uhalisia wa udsm, kubebe ni lazima!
Hongereni Kwa kuchaguliwa udsm Madogo......ila mjue kuna kubebana sio mtu anakuomba umbebe unafany roho mbaya. Huo ndio uhalisia wa udsm, kubebe ni lazima!
Kazi kweli kweli. unaenda chuo kikuuuu bado hata kuandika vizuri hujui. tufamiane, apa, ndo, ushilikiano. looooooooooooo kweli ELIMU TANZANIA KWISHNEYYY BABU GIIII
ndezi nini kwa hyo we apo hujaelewa nini au unatafuta kuokewa unawatoa watu kwenye mada ndezi nini
Hongereni Kwa kuchaguliwa udsm Madogo......ila mjue kuna kubebana sio mtu anakuomba umbebe unafany roho mbaya. Huo ndio uhalisia wa udsm, kubebe ni lazima!
maneno machafu ndiyo unayoyajua. pambaf! lazima urekebishwe unatia aibu, unajivuna kwenda chuo kuandika hujui! nina wasi wasi kama hata kusoma unajua wewe! hata hivyo si kosa lako elimu imeshuka nawe umeshuka nayo.
"kwishneyyy babu giii"Kazi kweli kweli. unaenda chuo kikuuuu bado hata kuandika vizuri hujui. tufamiane, apa, ndo, ushilikiano. looooooooooooo kweli ELIMU TANZANIA KWISHNEYYY BABU GIIII
Asante sana bro METAL,hapo kwenye admission letter kidogo sijapata ufasaha wake...tafadhali hebu elezea in details tupate mwanga zaidi...then cost za accomodation zinacheza kwenye mzani wa shilingi ngapi....:::help:::