BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Leo tunamdunda mtu jamani
My prediction
Wydad Casablanca 2-1 Al ahly, FT
Karibuni sana makanda wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game sio leo ni kesho waliipeleka mbele kwakuwa motsepe alienda ufaransa jana kuchek game ya liver na madrid...
Yaani waafrica wangese kweli...so kama final ya uefa ndioo ubadiliahe tarehe ya caf final....plus sii ana private jet yake. Hii ni le excuse na proority kwake inatakiwa kuattend caf champions league final sio hiyo ya ulayaGame sio leo ni kesho waliipeleka mbele kwakuwa motsepe alienda ufaransa jana kuchek game ya liver na madrid...
Yaani waafrica wangese kweli...so kama final ya uefa ndioo ubadiliahe tarehe ya caf final....plus sii ana private jet yake. Hii ni le excuse na proority kwake inatakiwa kuattend caf champions league final sio hiyo ya ulaya
Mie ndio maana nakubalina kabisa na wazungu kutuita sie manyani. Tuna maamuzi yaki ngese sana.Ila ni kosa kubwa kuahirisha game, especially final!
Mie ndio maana nakubalina kabisa na wazungu kutuita sie manyani. Tuna maamuzi yaki ngese sana.
Motsepe ni rais was caf not uefa...u attend to home affairs first not foreign affairs. Alafu wazungu wataacha kutudharau kweli
Ndio hapo uone kwa wenzetu wanavipa value vitu vyao wenyewe kwanza. Sie huku tunajidharah alafu wakitudharau wao tunaanza kulalamikaEti waipeleke mbele game ya liverpool na madrid kwa sababu tu rais wa uefa akashuhudie mechi zetu za kiafrika, hiyo haitatokea 🤣🤣 wenzetu wanaheshimu sana vya kwao.
Mie ndio maana nakubalina kabisa na wazungu kutuita sie manyani. Tuna maamuzi yaki ngese sana.
Motsepe ni rais was caf not uefa...u attend to home affairs first not foreign affairs. Alafu wazungu wataacha kutudharau kweli
Ndio hapo uone kwa wenzetu wanavipa value vitu vyao wenyewe kwanza. Sie huku tunajidharah alafu wakitudharau wao tunaanza kulalamika
Ndio hapo uone kwa wenzetu wanavipa value vitu vyao wenyewe kwanza. Sie huku tunajidharah alafu wakitudharau wao tunaanza kulalamika
Moja ya tukio la ajabu na aibu sana walilofanya waafrica ni lile la kubadilisha kalenda yao ya msimu na kuiga mfumo wa Europe, Ni upuuzi unaodhihirisha upumbavu wetu.
Duh! Ndio maana tuko nyuma kwa kila kitu
Bora liondoshwe tuNa usishangae karibuni tu na wao wakaondosha Away Goal rule kwa kufuata mabwana zao ambao kila siku wanawalalamikia kuwa wanawabagua.
Na usishangae karibuni tu na wao wakaondosha Away Goal rule kwa kufuata mabwana zao ambao kila siku wanawalalamikia kuwa wanawabagua.
mkuu viongozi wa FIFA nao wanastahili kuwepo kwenye hiyo fainali kwahiyo haiepukikiYaani waafrica wangese kweli...so kama final ya uefa ndioo ubadiliahe tarehe ya caf final....plus sii ana private jet yake. Hii ni le excuse na proority kwake inatakiwa kuattend caf champions league final sio hiyo ya ulaya
Yeye angeweza kwenda baada ya mechi unapanda private jet tuu fastamkuu viongozi wa FIFA nao wanastahili kuwepo kwenye hiyo fainali kwahiyo haiepukiki