Wale wa Wydad Casablanca tukutane hapa

Wale wa Wydad Casablanca tukutane hapa

Kinachokera hawa waarabu ni kuchoma moto uwanjani na uwanja kujaa moshi..... upuuzi sana....
 
Wydad ni hatari sana wanapo enda golini kwa mpinzani.
Hilo goli la 2 Wydad ndio wamekoswa hapohapo wakajibu.
Na jinsi Al Ahly anavyolisakama goli la Wydad ndio atapigwa la 3 kirahisi sana.
Mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom