Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Screen protector Djigui DiarraHuyu kipa wa WC ni anadaka zaidi ya tumbili
Hawa Wamorocco wanajua sana kushangilia
Hawa waarabu wanajua,tofauti na sisi huku Sahara
Aliambiwa atoe tako apangwe kagomaHivi kweli wydad walishindwa kumlipa msuva? Au msuva anayake tu, kapishana na game ya kihistoria hij
Yanga wamnunueHuyu kipa wa WC ni anadaka zaidi ya tumbili
Hakuna kuchoma mavitu uwanjani?Isipokuwa hapa tunashuhudia Viwango..!
Hii game mbona ilipangwa kitambo tu tar 30/5 hizi habar ww umezitoa wapi ndugu?Game sio leo ni kesho waliipeleka mbele kwakuwa motsepe alienda ufaransa jana kuchek game ya liver na madrid...