johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hilo swali hata mie nimejiuliza sana. Hii nchi siasa zinatupeleka pabaya sana. Hizo nafasi za kamati walizowapa wabunge feki si wangewapa ACT wa visiwani?
Kwahiyo Chadema hawana wabunge?!Hizo kamati zote za bunge na bunge lenyewe linaongozwa na CCM. Hayo maswala ya viti maalum na viti vya kuchaguliwa na wananchi (ACT 4, CUF 1, CHADEMA 1) ni bosheni tu.
Watakuelewa wachache tena wenye akili timamu.Covid 19 ni CCM, CCM kampa CCM nafasi.
You're too petty sometimes.Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa kupewa uongozi wa kamati za PAC na LAAC.
Sielewi hawa " Vidume" wa ACT Wazalendo wameshindwaje kujinyakulia uongozi kwenye kamati za kudumu za bunge ukizingatia umuhimu wa SUK labda watakuwa hawana sifa.
Maendeleo hayana vyama!
Tumeangalia chama chenye nguvu,kinachotupa changamoto kwenye chaguzi.Its obvious.Hilo swali hata mie nimejiuliza sana. Hii nchi siasa zinatupeleka pabaya sana. Hizo nafasi za kamati walizowapa wabunge feki si wangewapa ACT wa visiwani?
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa kupewa uongozi wa kamati za PAC na LAAC.
Sielewi hawa " Vidume" wa ACT Wazalendo wameshindwaje kujinyakulia uongozi kwenye kamati za kudumu za bunge ukizingatia umuhimu wa SUK labda watakuwa hawana sifa.
Maendeleo hayana vyama!
PAC na LAAC siyo masuala ya Muungano, kwanini yasimamiwe na wabunge wa kuazimwa toka visiwani? Wabunge wa zanzibar jukumu lao kuu ni kuangalia bajeti ya mambo ya Muungano na Wizara ulinzi inazingatia mambo ya Zanzibar and not otherwise.......!Hilo swali hata mie nimejiuliza sana. Hii nchi siasa zinatupeleka pabaya sana. Hizo nafasi za kamati walizowapa wabunge feki si wangewapa ACT wa visiwani?
Chadema imepeleka wanawake mahodari sana bungeni.
sijawajau wabunge wa ACT na CUF ila kwa Chedema wamepeleka majembe tupu.
Kwahiyo zamu hii Chadema hamna wabunge?Cdm haijapeleka wabunge kwenye hilo bunge kibogoyo acha upotoshaji wa kijinga boss. Hao wabunge wamejipeleka wenyewe kwa makubaliano na ccm.
Ni ukweli ulio wazi kuwa CHADEMA hawana mbunge hata mmoja.Kwahiyo Chadema hawana wabunge?!
Nimekuelewa bwashee!Ni ukweli ulio wazi kuwa CHADEMA hawana mbunge hata mmoja.
Ila maCCM yanahaha yawe na wabunge wa CHADEMA hata kama ni wadangaji.
Kwahiyo zamu hii Chadema hamna wabunge?
Bunge letu Tukufu linataka Wabunge Waliofukuzwa na Chama Chao ndio ndio KATIBA InavyotamkaKumbukumbu zinaonyesha kuwa ACT Wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wote wakiwa wanaume, CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa ambaye ni mwanamama na wabunge 19 wa viti maalumu.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza CHADEMA kwa kupewa uongozi wa kamati za PAC na LAAC.
Sielewi hawa " Vidume" wa ACT Wazalendo wameshindwaje kujinyakulia uongozi kwenye kamati za kudumu za bunge ukizingatia umuhimu wa SUK labda watakuwa hawana sifa.
Maendeleo hayana vyama!