Wale Wabunge wa kuchaguliwa wa ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuongoza PAC na LAAC?

Wale Wabunge wa kuchaguliwa wa ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuongoza PAC na LAAC?

PAC na LAAC siyo masuala ya Muungano, kwanini yasimamiwe na wabunge wa kuazimwa toka visiwani? Wabunge wa zanzibar jukumu lao kuu ni kuangalia bajeti ya mambo ya Muungano na Wizara ulinzi inazingatia mambo ya Zanzibar and not otherwise.......!
Mantiki yangu ni kwamba, hao akina Tendega sio wabunge HALALI wa CHADEMA. Wamepewaje maradaka kwenye kamati ambazo sifa zake lazima mbunge awe anatambulika na chama chake? Ama bado ni tiktak za CCM zinaendelea.
 
Back
Top Bottom