Mwenda pole hajikwai
JF-Expert Member
- Oct 24, 2018
- 290
- 210
Aiseeee, jamaa akafa?Alijilipua mle jmall le grande casino na hela ya mme wake 60m ikapigwa yote...mume akanywa sumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,hii ndio kamari[emoji3][emoji3]Every hand is a winner, and every hand is a looser but INTELIGENCE matters.
Gambling haitegemei BAHATI peke yake, lazima uwe na kichwa chepesi, mwizi, muongo, mhuni, tapeli na KIPAJI pia. Lazima ujue muda gani utupe, muda gani usubiri, muda gani ukimbie mbio nyingi sana.
Nikiwa na miaka 21, nliwahi kumchapa jamaa kwenye POKER Million 9, siku hio hio hakuridhika baada ya kunikuta kwenye POOL TABLE nambaka mtu wash. Akaomba COLLABO ili atleast arudishe hata nusu ya hela yake. Nikagoma kuweka hela nikaomba tuweke bet gari (Hela nlikua nategemea kulipia ada chuo UDSM mwaka wa kwanza, kama week moja iliopita nlipigwa hela ya ada yote pamoja na hela ya kujikimu **Mkopo wa chuo wote, sio wa BOARD**, halafu baada ya week moja tulikua na paper kukamilisha Course Work).
Nlikua nimeenda na mshikaji wangu wa chuo ana Mark II, (Ilikua mbovu kinoma, imepigwa pasi kisawasawa, na kila kona ilikua na milio kama mashine ya kukoboa na kusaga). Jamaa akaweka GX 110 mpya bila hata kuhakikisha gari nlioweka mimi hadhi yake. Yule rafiki yangu nliekua nae alikua kawaka tungi huku akishangilia navochuana kwenye pool table, bila kujua gari yake ndo nimeiweka rehani.
Advantage nliopata jamaa nliecheza nae, alikua anataka kucheza kwa kukamia kisawasawa, so mi nika relax kinoma. Aliishia kuchezea WASH tatu straight. Na gari akaacha. Tunatoka casino na rafiki yangu kila mtu na gari yake, nlivomwambia gari yake ndio nliweka rehani, kwanza hakuamini na pombe zilimruka huku akiambatana na kunishushia matusi ya mama kifurushi cha siku.
*** Ila kuna mapigo takatifu unaweza ukapigwa casino, mpaka ukasikia kiungulia cha roho au kizunguzungu. Ushauri wangu, gambling/cassino/betting hazifai kabisaaaa ni rafiki wa umasikini.
#Poker My Fav, kupimana akili na uwezo.[emoji53] [emoji18]
Hujaelewa,hoja yako iko sahihiAlafu jomba ’ roullete inalipa mara 36 kwa kila kiasi unachobet kwenye namba moja utakayobet na kupatia, sasa laki moja unapataje milioni 27,
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama hauijui usijaribu kujifunza,ni hatari kwa afya na maisha yako.
bila shaka ni texas holdem poker boss.Every hand is a winner, and every hand is a looser but INTELIGENCE matters.
Gambling haitegemei BAHATI peke yake, lazima uwe na kichwa chepesi, mwizi, muongo, mhuni, tapeli na KIPAJI pia. Lazima ujue muda gani utupe, muda gani usubiri, muda gani ukimbie mbio nyingi sana.
Nikiwa na miaka 21, nliwahi kumchapa jamaa kwenye POKER Million 9, siku hio hio hakuridhika baada ya kunikuta kwenye POOL TABLE nambaka mtu wash. Akaomba COLLABO ili atleast arudishe hata nusu ya hela yake. Nikagoma kuweka hela nikaomba tuweke bet gari (Hela nlikua nategemea kulipia ada chuo UDSM mwaka wa kwanza, kama week moja iliopita nlipigwa hela ya ada yote pamoja na hela ya kujikimu **Mkopo wa chuo wote, sio wa BOARD**, halafu baada ya week moja tulikua na paper kukamilisha Course Work).
Nlikua nimeenda na mshikaji wangu wa chuo ana Mark II, (Ilikua mbovu kinoma, imepigwa pasi kisawasawa, na kila kona ilikua na milio kama mashine ya kukoboa na kusaga). Jamaa akaweka GX 110 mpya bila hata kuhakikisha gari nlioweka mimi hadhi yake. Yule rafiki yangu nliekua nae alikua kawaka tungi huku akishangilia navochuana kwenye pool table, bila kujua gari yake ndo nimeiweka rehani.
Advantage nliopata jamaa nliecheza nae, alikua anataka kucheza kwa kukamia kisawasawa, so mi nika relax kinoma. Aliishia kuchezea WASH tatu straight. Na gari akaacha. Tunatoka casino na rafiki yangu kila mtu na gari yake, nlivomwambia gari yake ndio nliweka rehani, kwanza hakuamini na pombe zilimruka huku akiambatana na kunishushia matusi ya mama kifurushi cha siku.
*** Ila kuna mapigo takatifu unaweza ukapigwa casino, mpaka ukasikia kiungulia cha roho au kizunguzungu. Ushauri wangu, gambling/cassino/betting hazifai kabisaaaa ni rafiki wa umasikini.
#Poker My Fav, kupimana akili na uwezo.[emoji53] [emoji18]
it depends umebet wapi kuna straight,split,corner and so on na kila moja na ulipaji wake.Alafu jomba ’ roullete inalipa mara 36 kwa kila kiasi unachobet kwenye namba moja utakayobet na kupatia, sasa laki moja unapataje milioni 27,
Sent from my iPhone using JamiiForums
uko wapi boss?Nataka niingie huko taratibu zipoje? Nahisi jiji nililopo halina hii kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Redstone hii ya moshi ?Dah mnanitisha, ngoja nisogee taratibu HUGOS HOTEL nikachezee pool table, saa mbili mbili nisogee REDSTONE, wadau wamenielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mnanitisha, ngoja nisogee taratibu HUGOS HOTEL nikachezee pool table, saa mbili mbili nisogee REDSTONE, wadau wamenielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah sitarudia tena mkuu, ada ya chuo ningeshindwa kuirudisha ingenitoa roho kwa mawazo au pengine ningekua mkabaji ili niipate.[emoji53]